MOURINHO AFUFUA UPYA MISHE ZA KUMFUKUZIA MICHAEL KEANE

KOCHA wa timu ya Manchester Unbited, Jose Mourinho ameanza tena harakati zake za kutaka kumnasa kina wa West Ham United, Michael Keane.

Mourinho ameripotiwa kuanza kuushurutisha uongozi wa klabu hiyo kumaliza haraka dili la uamisho huo.


Manchester United wamefuzu kushiriki mashindano ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada ya kubeba ubingwa wa Kombe la Europa. 

No comments