NEW AUDIO: “AMANI” RUMBA MATATA KUTOKA TOT BAND
Wakati wasanii wengi wakipigana vikumbo studio kurekodi nyimbo za mapenzi, TOT Band wao wamekuja na rumba matata linalohubiri amani hapa nchini.


Nyimbo hii imepewa jina la “Amani” ikiwa na urefu wa dakika 7 unusu, utunzi wake mpiga kinanda Alen Elias.

No comments