KLABU ya Liverpool iliweka mezani dau la euro mil 20 kwa ajili ya beki Stefen de Vrij wa Lazio, hata hivyo ofa hiyo imebuma.

Klabu za Inter na Chelsea zote zinamfukuzia mchezaji huyo wa Kidachi, klkabu hiyo ya Italia imedai ofa ya Liverpool ni ndogo sana.


Jurgrn Klopp ametakiwa kujipanga upya na kuja na dau kubwa zaidi ili kupata huduma ya staa huyo.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac