OMOG AWACHIMBA MKWARA WACHEZAJI WANAOTAKA KUSAJILIWA NA SIMBA MSIMU HUU

KOCHA wa wekundu wa Msimbazi, Simba, Joseph Omog amewatahadharisha wachezaji wanaotaka kusajiliwa na timu yake akiwataka wajipange kwani amepanga kukipeleka mchakamchaka kikosi chake katika msimu ujao wa Ligi. 

No comments