PICHA 10: ISHA MASHAUZI ALIVYOFUTURU NA WATOTO YATIMA


Mwimbaji na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Mashauzi juzi aliwapa faraja watoto yatima Kinondoni Hananasif pale alipokwenda kupata nao ftari ya pamoja.

Hiyo ilikuwa ni katika kituo wanacholelewa watoto hao kiitwacho Maunga Center ambapo nyuso za tabasamu na furaha zilitawala katika tukio hilo la faraja.

Tupia macho picha 10 za watoto hao walivyopata ftari ya pamoja na Isha Mashauzi.
 Isha akifturu na watoto yatima
 Ilikuwa ftari iliyojaa upendo
 Isha na watoto yatima muda mfupi kabla ya ftari
 Isha amekuwa akifanya hivi kwa karibu kila mwezi wa Ramadhan
 Watoto wakiendelea kupata ftari
 Watoto wa Maunga Center wakisubiri ftari
 Mambo yalikuwa kama hivi
 Mmoja ya watoto waliopata ftari ya pamoja na Isha
 Wasaa wa ftari
Watoto wakiendelea kupata sadaka ya ftari

No comments