Habari

PICHA 16 ZA LEYLA RASHID ALIVYOWASILI KWENYE MSIBA WA MKE MWENZAKE …azirai kwa nusu saa

on

Mke mkubwa wa Mzee Yussuf, Malkia Leyla Rashid ameshiriki msiba wa mke
mwenzake Chiku Khamis Tumbo na kukumbwa na simanzi kubwa iliyopelekea kuzirai
kwa nusu saa.
Leyla aliwasili nyumba ya msiba Kariakoo mtaa wa Livingstone majira ya
saa 5 asubuhi na kujikuta akishindwa kuyazuia machozi.
Hali ilikuwa ngumu zaidi kwa Leyla wakati mwili wa Chiku ulipowasili
ambapo alilia kwa uchungu na kuzimia kwa takriban nusu saa.
Leyla alizinduka baada ya juhudi kubwa zilizofanywa na watu wake wa
karibu ambao walimpepea na kumwagia maji.
 Leyla Rashid akiwasili msibani
 Leyla anaadaliwa sehemu ya kuketi
 Leyla anaketi chini na kuanza kulia
 Leyla bado yuko kwenye huzuni kubwa
 Simanzi
 Ni uchungu mkubwa kwa Leyla
 Mandhari ya msibani
 Mwili wa Chiku ukiwasili
 Leyla anazirai baada ya kuona jeneza la mke mwenzake
 Hali ngumu
 Leyla hajitambui
 Leyla taaban
 Watu wakijabu kumsaidia Leyla
 Leyla bado hali si njema
Leyla akijaribu kuomba dua baada ya kuzinduka

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *