Habari

PICHA 16 ZA WADAU MBALI MBALI KWENYE MSIBA WA MKE WA MZEE YUSSUF

on

Zifuatazo  ni picha 16 za
matukio mbali mbali ya msiba wa mke wa Mzee Yussuf (Chiku) aliyefariki Jumamosi
jioni na kuzikwa Jumapili mchana.

Awadh Kassim wa Jahazi (kushoto) akiwa na Seif mkurugenzi wa fedha wa zamani wa Jahazi
 Mzee Yussuf akiwa ameubeba mwili wa mwanae. Nyuma yake mwenye miwani ni mpiga kinanda Ally Jay
 Anaitwa Yussuf Mzee …mtoto wa Mzee Yussuf na Jokha Kassim
 Kushoto ni Iqujaan Iqbal Hussein kiongozi wa Konga Moyo Taarab akiwa na mpiga solo Mridu Ally
 Mzee Yussuf na mwili wa mwanae. Kushoto ni Hans mmoja wa viongozi wa Jahazi Modern Taarab
 Mzee Yussuf akipokewa na baba yake mzazi kubeba mwili wa mwanae
 Kutoka kushoto ni Ally Juma wa Wakali Wao, Thabit Abdul wa Wakali Wao, Mohamed Mauji wa Yah TMK Modern Taarab. Kulia ni Ally Jay wa Jahazi akifuatiwa na Juma Mbizo wa Zanzibar Stars Modern Taarab
 Baba mzazi wa Mzee Yussuf akiubeba mwili wa mjukuu wake ambaye alifariki sambamba na mama yake wakati wa uzazi
 Prince Amigo wa Jahazi (wa pili kushoto) akiwa na wadau wengine wa muziki akiwemo Capt Temba aliyevaa kanzu nyeupe
 Wasanii na wadau wa muziki. Kushoto ni Kivurande mkali wa Kibao Kata 
 Mdau Ahmad Mmanga (kushoto) akiwa na wadau wengine kuelekea makaburini kumhifadhi mke wa Mzee Yussuf na mwanae
 Eric Shgongo, Said Mdoe na Juma Mbizo wakiongea machache makaburini kabla mwili haujawasili
Mwimbaji wa zamani wa Jahazi Twaha Malovee akiwa na mume wa Khadija Yussuf
Khamis Boha mkurugenzi wa Jahazi (kushoto), Sumaragar meneja wa Mashauzi Classic (wa pili kushoto) sambamba na wadau wengine

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *