Habari

PICHA 27: TWANGA PEPETA NA MASHAUZI CLASSIC ‘WALIVYOWASHA MOTO’ MANGO GARDEN EID MOSI

on

Jana usiku katika kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitr, Twanga Pepeta
na Mashauzi Classic walifanya onyesho la pamoja ndani ya ukumbi wa Mango Garden
Kinondoni.
Ama kwa hakika bendi hizo mbili zilipiga show ya kutakata huku kila
moja ikihakikisha inateka mashabiki.
Tupia macho picha 27 za onyesho hilo lililohudhuriwa na mashabiki wengi ili upate sura ya kile
kilichotokea.

 Isha Mashauzi jukwaani
 Hashim Said wa Mashauzi Classic akiimba “Bonge la Bwana”
 Waimbaji wa Twanga Haji Makuke na Luizer Mbutu
 Twanga wakishambulia jukwaa
 Makamuzi ya Twanga yakiendelea jukwaani
 Kalala Jr wa Twanga Pepeta
 Kali Kitimoto mpapasa kinanda wa Mashauzi Classic
 Mastaa wa Twanga kutoka kushoto ni Kalala, Luizer na Chocky
 James Kibosho akizigonga drums za Twanga
 Wacheza show wa Twanga wakijaribu kupagawisha mashabiki wao
 Si kwa kupagawa huku!!! Isha akipagawaisha mashabiki wake
 Mashabiki wa Mashauzi wakiijaza ‘dancing floor’
 Hali ilikuwa hivi wakati Isha Mashauzi alipokuwa akiimba
Isha Mashauzi akiimba “Nimpe Nani”
 Mkude Simba mpiga solo wa Mashauzi
 Isha Mashauzi 
 Makamuzi ya Twanga Pepeta
 Luizer Mbutu wa Twanga Pepeta
 Madansa wa Twanga jukwaani
 Kalala Jr na Chokoraa kutoka Twanga Pepeta
 Saida Mashauzi wa Mashauzi Claasic jukwaani
 Mashabiki wakicheza wimbo “Pendo la Ukakasi” wa Saida Mashauzi 
 Saida Mashauzi
 Wasaa wa Twanga kufanya vitu vyao
 Ally Chocky wa Twanga Pepeta
Chokooraa akiwafuata mashabiki kule waliko
Madansa wa Twanga wakishuka hadi kwenye ‘dancing floor’ kuwapa raha mashabiki wao

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *