Mwimbaji taarab Jokha Kassim ambaye amezaa mtoto mmoja na Mzee Yussuf, amejukuta akiangusha kilio mara tu baada ya kuwasili kwenye msiba wa Chiku, mke wa mdogo wa Mzee Yussuf.

Jokha, mke wa zamani wa Mzee Yussuf, aliwasili msibani saa 5.30 asubuhi akitokea Zanzibar ambako anaishi na mumewe wa sasa Amin Salmin.
 Jokha akiwasili msibani
 Jokha akipokewa na baba mzazi wa Mzee Yussuf
 Jokha (kushoto) akienda kuketi
 Jokha akiangusha kilio
 Jokha bado analia
 Simanzi kwa Jokha
Jokha akiendelea kuliaUSISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac