PICHA 8 ZA KHADIJA YUSSUF ALIVYOMLILIA WIFI YAKE KIPENZI …mama mzizi wa Mzee Yussuf naye hoi kwa mkwewe


Dada wa Mzee Yussuf, Khadija Yussuf ambaye ni mwimbaji wa Wakali Wao Modern Taarab, ni mmoja wa watu waliochomwa sana na msiba wa Chiku, (mke mdogo wa Mzee Yussuf).

Hakuna ubishi wala haikuwa siri kuwa Khadija Yussuf alikuwa kipenzi cha wifi yake na hiyo ilijidhirisha msibani kwa namna alivyokuwa hoi kumlilia Chiku aliyefariki ghafla Jumamosi usiku.

Mbali na Khadija, pia mama mzazi wa Mzee Yussuf naye alikuwa hoi msibani kwa kumlilia mkwewe.
 Khadija Yussuf (kulia) akiwa hoi kwa msiba wa wifi yake
 Kilio cha uchungu
 Khadija Yussuf na kilio kwa wifi yake
 Hakika ilitia simanzi
 Khadija Yussuf ndani ya maumivu makali ya kuondokewa na wifi yake
 Mama mzazi wa Mzee Yussuf akimlilia mkwewe
 Mama mzazi wa Mzee Yussuf (kulia)
Kuondokewa na mkwe sio jambo linalovumilika

No comments