PSG YAMPOTEZEA JAMES RODRIGUEZ... sasa yaanza kukomaa na Kylian Mbappe

MABOSI wa PSG wameachana na mpango wa kumsajili James Rodriguez wa Real Madrid na sasa wanataka kumchukua Kylian Mbappe.


Rais james Nasser Al-Khelaifi amepewa ushauri huo na wakala wa kimataifa wa Colombia, Jorge Mendes.

No comments