PSG YAONGOZA MBIO ZA KUTAKA KUMNG'OA RODRIGUEZ REAL MADRID

KLABU ya saint Paris Germain ya nchini Ufaransa inatajwa kuongoza katika mbio za kumwania James Rodriguez wa Real Madrid.


Mchezaji huyo raia wa Colombia anatafuta klabu itakayompa muda wa kutosha kucheza, huku Manchester United, Arsenal na Chelsea nazo zikitajwa kuwania saini yake.

No comments