RONALDO, BALE, BENZIMA KUMPISHA KYLIAN MBAPPE REAL MADRID ...Zinedine Zidane afanya maamuzi magumu


Kylian Mbappe amesafishiwa njia ya kujiunga na Real Madrid baada ya klabu hiyo ya Hispania kumhakikishia namba.

Gazeti la AS limeandika kuwa kocha Zinedine Zidane amepenyeza ushawishi wake kwa mshambuliaji huyo kinda wa Monaco na kumwambia kuwa mmoja kati ya Cristiano Ronaldo, Gareth Bale na Karim Benzema ataondoka ili kutoa nafasi kwake.


No comments