SIMBA SC YAJINADI KUSUKA KIKOSI KITAKACHOTISHA AFRIKA NZIMA

KLABU ya Simba ambayo hivi karibuni imetolewa kwenye michuano ya Sportpesa, imesema kwamba inasuka kikosi ambacho kitakuwa tishio sio tu katika Ligi Kuu hapa nchini, bali pia kwenye michuano ya Klabu barani Afrika.

No comments