UNAJUA ALICHOKISEMA CHRISTIAN BELLA BAADA YA ZIARA YAKE YA CONGO? SIKILIZA CLIP HII
Mfalme wa masauti Christian Bella hivi karibuni alifanya ziara ya kimuziki nyumbani kwao Congo na kutoa picha kuwa kumbe Nabii anaweza kukubali kwao tofauti na ile imani kuwa Nabii hakubaliki kwao.

Unajua nini alichokisema Bella baada ya ziara hiyo kukamilika? Sikiliza clip hii ya Christian Bella alivyokuwa akiongea na kipindi cha ‘Weekend Bonanza’ cha Clouds FM kinachoongozwa na Khamis Dacota.

No comments