VERRATTI AITAFUTIA "SABABU" PSG ILI AKATUE CHELSEA AU MAN UNITED

MARCO Verratti ameomba kuachana na klabu yake ya Paris Saint Germain ili apate nafasi ya kuchezea Chelsea au Manchester United msimu ujao.

Nyota huyo amemwambia mkurugenzi wake mpya, Antelo Henrique kwamba hana raha kubaki tena Parc des Princes.


Timu za Barcelona na Bayern Munich nazo zinataka kutumia mwanya huo kumnasa, huku thamani yake ikitajwa kufikia euro mil 80.

No comments