Victor Lindelof  atawasili uwanja wa mazoezi wa Manchester United - Carrington, Jumatano hii kwaajili ya kukamilisha usajili wake kutoka   Benfica.

United ilitangaza Jumamosi usiku kuwa wanakaribia kumnasa sentahafu huyo kwa dau  linalotarajiwa kufika pauni milioni 30.7.

Nyota huyo wa kimataifa wa Sweden mwenye umri wa miaka 23, atapaa kwenda Manchester kukutana na maafisa wa timu pamoja na kufanya vipimo vya afya Jumatano kabla ya usajili wake kutangazwa rasmi.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac