VIDEO: CHRISTIAN BELLA AZUNGUMZIA ‘MAJANGA’ YA SHOW YAKE YA BURUNDI


Jumamosi ya tarehe 20 mwezi uliopita, Christian Bella alifanya show huko Bujumbura, Burundi ambapo mashabiki wa muziki wa dansi hapa Tanzania waligawanyika – wengine wakisema show haikufanyika na wengine wakidai ilifanyika.

Utata wote kuhusu show hiyo, unaondolewa kupitia majibu anayooyatoa Christian Bella kupitia video hapo juu.
 Bella akiwa na mashabiki wake kwenye show ya Bujumbura, Burundi
  Makamuzi ya Bella kwenye show ya Bujumbura, Burundi
Christian Bella kipenzi cha wengi. 

No comments