VIDEO: NYOSHI AIAMBIA JEMBE FM YA MWANZA KUWA AMEACHANA RASMI NA FM ACADEMIAJumamosi usiku kupitia kipindi cha “Saturday Express” cha Jembe FM ya Mwanza, mwimbaji Nyoshi el Saadat akafunguka kuwa ameachana rasmi na bendi yake ya FM Academia.

Msikilize kupitia ‘clip’ hiyo hapo juu.

No comments