WENGER AWEKA MSISITIZO WA KUENDELEA KUGOMEA KUUZWA KWA SANCHEZ

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ameendelea kushikilia msimamo wa kugoma kumuweka sokoni mshambuliaji wake namba moja, Alexis Sanchez.


Mshambuliaji huyo raia wa Chile ambaye amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake, kuna hatari akaondoka bure msimu ujao.

No comments