WEST HAM UNITED WAANZA KUMFUATILIA OLIVIER GIROUD ILI KUPATA SAINI YAKE

SAINI ya mpachikaji mabao wa Arsenal, Olivier Giloud inawaniwa Westham United na tayari wameanza kumfuatilia.

Giloud hafurahishi na benchi pale Arsenal na huenda akaikubalia Westham ambako atacheza mara kwa mara.


No comments