Habari

YALIYOMKUTA DIEGO COSTA KWA CONTE CHELSEA YAMTOKEA PIA GIROUD KWA ARSENE WENGER EMIRATES

on

BAADA ya Diego Costa kuambiwa
wazi kuwa hayupo kwenye mipango ya kocha wake, mshambuliaji wa Arsenal, Olivier
Giroud nae yamemkuta baada ya kocha Arsene Wenger kumfungukia bayana kwamba
hayuko kwenye mipango yake.
Kwa mujibu wa mtandao wa Metro,
Wenger kwa sasa anatafuta straika mkali kwa ajili ya msimu ujao na Giroud
huenda akawa chambo kwenye mpango wa kocha huyo kuvuta mshambuliaji mwingine;
Kylian Mbappe au Alexandre Lacazette.

Pia mtandao wa L’Equipe ulidai
kuwa Giroud amepewa ruhusa ya kuondoka Emirates na sehemu ya kwanza
anayotarajiwa kutua Mfaransa huyo mwenye thamani ya pauni milioni 20 ni Lyon au
Mar.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *