AROUNA KONE AMWAGWA RASMI EVERTON... wamo nyota wengine tisa waliomaliza mikataba yao

KLABU ya Everton imethibitisha kuwa wachezaji wake 10 wameondoka baada ya kumalizika kwa mikataba yao katikati ya wiki iliyopita.


Miongoni mwa mastaa hao ambao hawatapewa mikataba mipya ni pamoja na mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Arouna Kone.

No comments