ARSENAL KUINASA SAINI YA LACAZETTE KWA REKODI YA KITITA CHA PAUNI MIL 50

ARSENAL wanakaribia kuweka rekodi yao ya usajili kwa kuinasa saini ya Alexandre Lacazette kwa kitita cha pauni mil 50.


Taarifa zinasema kuwa mazungumzo baina ya mabingwa hao wa FA na straika huyo wa Lyon yamefika pazuri na muda wowote watakamilisha dili hilo.

No comments