ARSENAL YAICHAPA SYDNEY 2-0 ...Alexandre Lacazette moto wa kuotea mbali


Arsenal imeanza kwa kishindo mechi za kujiandaa na msimu mpya baada ya kuitungua Sydney 2-0 huku Alexandre Lacazette akifungua akaunti ya mabao kwa timu yake mpya aliyojiunga nayo kwa pauni milioni 53.

Lacazette akitokea benchi akaonyesha umahiri wa hali juu pamoja na kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 83 wakati lile la kwanza lili
wasili dakika ya 4 kupitia kwa beki Per Mertesacker. 

Arsenal: Cech; Bielik, Mertesacker, Kolasinac; Nelson, Coquelin, Willock, Bramall; Ozil, Walcott; Welbeck
Akiba: Martinez 45, Lacazette, Giroud, Oxlade-Chamberlain, Iwobi, Monreal, Xhaka, Maitland-Niles, Elneny, Malen, Nketiah all 68.

Goals: Mertesacker 4, Lacazette 83 
Sydney:Redmayne, Buijs, Brillante, Zullo, Retre, O’Neill, Brosque, Carney, Simon, Lokolingoy
Akiba: Iredale, McGing, Flottman, Bobo, Ninkovic, Kuleski, Curtis, McIllhatton, Zuvela, Dragicevic, Zapata, Green, Agamemnonos No comments