ARSENAL YAJIPANGA KUIPA BARCA PAUNI MIL 26 KWA AJILI YA KIUNGO ARDA TURAN

ARSENAL wanajiandaa kupeleka pauni mil 26 kwa Barcelona ili waweze kumnasa kiungo Arda Turan.


Arda ameshindwa kung’ara Barca tangu alipojiunga na timu hiyo akitokea Atletico Madrid mwaka 2015 na amemwambia wakala wake kuwa anataka kusepa.

No comments