Habari

ARSENE WENGER AONYESHA JEURI YA PESA …Arsenal yaweka ubahili kando

on

Usajili wa pauni milioni 53 wa Alexandre Lacazette kutoka Lyon kwenda Arsenal, umedhihirisha kuwa klabu hiyo ya London sasa imeachana na ubahili.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ambaye alitambulishwa rasmi Jumanne mchana, ameweka rekodi mpya ya usajili wa bei mbaya Emirates.

Usajili huo wa Lacazette umevunja rekodi ya pauni milioni 42.5 iliyowekwa Mesut Ozil mwaka 2013.
Lyon italipwa pauni milioni 46 na itapata nyongeza ya pauni milioni 7 kutokana na mafanikio yatakayopatikana Arsenal kupitia ujio wa Lacazette.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *