ARSENE WENGER KUKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO MARCELO BROZOVIC WA INTER MILAN WAKATI WOWOTE

KIUNGO wa timu ya Inter Milan, Marcelo Brozovic ameingia kwenye rada za Arsene Wenger ambaye amepanga kukamilisha usajili huo wakati wowote kuanzia sasa.

Wenger anataka kuboresha kikosi chake baada ya msimu uliopita kushindwa kupata nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Kocha huyo raia wa Ufaransa anaweza kufanikiwa katika mawindo yake baada ya Marcelo kuweka wazi msimamo wake wa kutaka changamoto mpya.

No comments