BARCELONA YAICHOKONOA TENA LIVERPOOL IKIMTAKA COUNTINHO

KLABU ya Barcelona imengonga hodi kwa mara ya pili pale Liverpool ikiendelea kunyemelea huduma ya kiungo, Philippe Countinho.

Barcelona wameripotiwa kuweka mezani ofa ya pauni mil 80 baada ya mwanzo kupeleka ofa iliyokataliwa na Liverpool.


Hata hivyo kuna uwezekano mdogo wa kuipata saini yake baada ya kocha, Jurgen Klopp kuweka wazi kuwa hana mpango wa kumuuza katika dirisha hili la usajili.

No comments