BARCELONA YAMNYATIA MCHEZAJI WA GUANGZHOU ALIYETANGAZA KUSEPA


BAADA ya staa wa klabu ya Guangzhou Evergrande inayoshiriki Ligi Kuu nchini China, Paulinho kutangaza kuwa anataka kuondoka katika kipindi hiki cha majira ya joto, Barcelona wamejitokeza kutaka kuwania saini ya nyota huyo.

No comments