BARCELONA YATENGA MIL 28 ILI KUMNG'OA HECTOR BELLERIN ARSENAL

KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania imetenga dau la pauni mil 28 ili kumnasa beki wa Arsenal, Hector Bellerin.


Barcelona inaboresha kikosi chake baada ya kupoteza ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania msimu uliopita ambapo Kombe hilo lilikwenda Real Madrid.

No comments