BAYERN MUNICH WAMVUTIA KASI WINGA YANNICK CARRASCO WA ATLETICO MADRID

BAYERN Munich wanaangalia uwezekano wa kuinasa saini ya winga wa Atletico Madrid, Yannick Carrasco katika dirisha dogo la usajili mwakani.

Mbergiji huyo anayetajwa kuwa na thamani ya pauni mil 43, anaweza kuondoka Atletico pindi wabishi hao wa La Liga watakapomaliza adhabu ya kuzuiwa kusajili.

No comments