BEKI DANILO WA REAL MADRID ANUKIA JUVENTUS

JUVENTUS wanakaribia kukamilisha dili lao la kumsajili beki wa kulia wa Real Madrid, Danilo, kwa mujibu wa mtandao wa Tuttosport.


Mabingwa hao wa serie A wameshapeleka ofa ya euro mil 20.

No comments