BENJAMIN MENDY AITAMANI MANCHESTER CITY

NYOTA wa Monaco anayezungumziwa sana kwenye soko la usajili, Benjamin Mendy amesema anataka kuichezea Manchester City.


Beki huyo wa kushoto ameonyesha nia ya kumfuata mchezaji mwenzake wa zamani wa Monaco, Bernardo Silva.

No comments