Habari

BOSI LA CHELSEA LAJITOKEZA NA KUMPANDIA DAU CRISTIANO RONALDO

on

HUKU kukiwa na taarifa za
Cristiano Ronaldo kuhama Real Madrid, mmiliki wa Chelsea, Roman Abrahamovich
amejitokeza kutaka kumsajili.

Mtandao wa Express umesema
bilionea huyo wa Urusi anataka kutumia kiasi cha fedha kitakachovunja rekodi ya
dunia.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *