CHELSEA KUMTANGAZA RASMI BAKAYOKO WIKI HII

CHELSEA wako mbioni kumtangaza kiungo wa Monaco, Tiemoue Bakayoko, baada ya kufikia makubaliano ya dau la pauni mil 35.


Kama mambo yakienda sawa, mabingwa hao wa Premier League watamtangaza Bakayoko wiki hii.

No comments