CRISTIANO RONALDO ANAIINGIZA PAUNI 310,000 KWA KILA POST YAKE INSTAGRAMNguvu ya mitandao ya kijamii imepata kicheocheo zaidi baada ya kutolewa ripoti kuwa mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, anaingiza pauni 310,000 kwa kila 'post' yake Instagram.

Ronaldo mwenye wafuasi milioni 106, anatajwa kushikia nafasi ya tatu katika 'top ten' ya wanaoingiza 'mpunga' mrefu Instagram akiwa katanguliwa na mwimbaji Selena Gomez na Kim Kardashian.
No comments