DANI ALVES AMPIGIA CHAPUO PAULO DYBALA MANCHESTER CITY

BEKI wa Juventus ambaye anatarajia kumwaga wino wa kuichezea Manchester City wakati wowote kuanzia sasa, Dani Alves ni kama amegeuka kuwa wakala baada ya kuanza kupiga debe la kutaka asajiliwe Paulo Dybala.


Dani ameanza kampeni za kutaka Dybala asajiliwe kwenye kikosi cha Manchester City ili kuongeza uhai kabla ya kuanza kwa michuano ya Klabu Bingwa Ulaya.

No comments