DE GEA NI KAMA VILE AMEANZA KURAHISISHA UHAMISHO WAKE REAL MADRID... anaswa Hispania akitafuta nyumba ya kuishi

NI kama David de Gea ameanza kurahisisha uhamisho wake wa kutua Real Madrid baada ya kunaswa akitafuta nyumba nchini Hispania.


Taarifa hizo za kusaka makazi zinakuja huku zile za kutaka kuchomoka Manchester United zikiendelea kushika kasi.

No comments