FC BARCELONA YAANDAA EURO MIL 90 ILI KUMNG'OA COUTINHO LIVERPOOL

TIMU ya Barcelona ni kama imekomaa ili kuhakikisha inamnasa staa wa Liverpool, Philippe Coutinho, baada ya kuripotiwa kujiandaa kutuma ofa ya Euro milioni 90 kwa ajili ya kumnasa kiungo huyo licha ya Reds kuweka ngumu kumwachia.


Kwa mujibu wa vyombo vya habari kutoka nchini Uingereza, vinara hao wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga  wanamtaka Mbrazil huyo ili kuimarisha safu yao ya kiungo.

No comments