TIMU ya Fenerbahce ya Uturuki inammezea mate staa wa AC Milan, M'Baye Babacar Niang, baada ya kutangaza kujitosa katika vita ya kuwania saini yake.


Kwa mujibu wa jarida la L'Equipe, vinara hao wa soka nchini Uturuki wanahitaji mno huduma ya staa huyo mwenye umri wa miaka 22 na wameshaandaa ofa ya Euro milioni 7 ambazo zinatosha kufikia pauni milioni 16 ambazo zinatakiwa na AC Milan ili kumwachia.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac