GARETH BALE KUGEUZWA CHAMBO YA KUMVUTIA KYLIAN MBAPPE REAL MADRID

KUFUATIA mpango wa Real Madrid kuifukuzia saini ya kinda Kylian Mbappe, vyombo vya habari vya Hispania vinaripoti kuwa Bale anaweza kufanywa chambo katika dili hilo la uhamisho.


Madrid wanatafuta fedha ya kumnasa Mbappe ambaye kwa vyovyote vile klabu yake ya Monaco haiwezi kumwachia kwa fedha kiduchu.

No comments