Habari

GIGGS ASEMA JOSE MOURINHO HAKUHITAJI KUFANYA KAZI NAE OLD TRAFFORD

on

WINGA mstaafu wa Manchester
United, Ryan Giggs amesema kuwa Jose Mourinho hakuhitaji wafanye kazi pamoja
Old Trafford wakati anapewa kazi ya kurithi nafasi ya Louis Van Gaal.
Ilionekana kama vile Giggs
amesusa lakini yeye mwenyewe ameibuka na kudai alikuwa tayari kuendelea na kazi
kama angehitajika na Jose Mourinho.

Ryan Giggs kwa hivi sasa
ameamua kufanya kazi ya uchambuzi wa michezo kwenye vituo vua runinga.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *