HATIMAYE KIPA JOE HART AJIUNGA NA WEST HAM


Kipa wa Manchester City  Joe Hart amefuzu vipimo vya afya na kukamilisha  usajili wa mkopo kujiunga na  West Ham.

City wataendelea kulipa sehemu ya mshahara wa 120,000 kwa wiki wa Joe Hart wakati West Ham wanaweza wakawa na nafasi ya kumsajili jumla mwishoni mwa msimu huu. No comments