Hatimaye Manchester United imeipiga bao Chelsea kwa kufanikiwa kuingia makubaliano na Everton ya kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku kwa pauni milioni 75.

Gazeti za Daily Mail la Uingereza limeandika kuwa usajili wa Lukaku kwenda Manchester United unategemewa kuwekwa hadharani baadae leo.

Nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji anatagemewa kujumuika na Manchester United kwenye ziara yao ya Marekani kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac