HECTOR BELLERIN AANZA KUTETA NA BARCELONA

IMERIPOTIWA kuwa mpango wa beki wa kulia wa Arsenal, Hector Bellerin Barcelona ni kama unaelekea kukamilika kwani mazungumzo yameshaanza.


Wakala wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, ameanza mazungumzo na Barca.

No comments