Habari

HISPANIA, ITALIA NA UTURUKI ZAMMEZEA MATE WAYNE ROONEY

on

STAA wa Manchester United, Wayne
Rooney anazivutia klabu za Italia, Hispania na Uturuki.

Nahodha huyo wa timu ya taifa
ya England ana umri wa miaka 31 na ni kama amekosa nafasi pale Old Trafford.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *