INTER MILAN YAICHOKONOA PSG KWA ANGEL DI MARIA

TIMU ya Inter Milan inaripotiwa kuanza uchokozi dhidi ya Paris Saint Germain, baada ya kutangaza kuwa na mpango wa kutaka kumsajili nyota wao, Angel Di Maria.


Vyombo vya habari vya Italia vilieleza jana kwamba, vinara hao wanajipanga kutuma ofa baadaye wiki hii ili kuona kama wataweza kumpata staa huyo wa timu ya Taifa ya Argentina katika dirisha la usajili la majira haya ya joto.

No comments