JAVIER HERNANDEZ MBIONI KUREJEA PREMIER LEAGUESTRAIKA wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez ametajwa kuwa lengo la West Ham United katika dirisha la usajili la kiangazi, lakini kwa mujibu wa gazeti la Bild, klabu hiyo inakabiliwa na ushindani kutoka Tottenham.

No comments