JOE HART ASEMA ANAFURAHI KUTUA WEST HAM KWAVILE ALIKUWA ANAIPENDA

MLINDA mlango Joe Hart baada ya kutua West Ham akiwa amerejea Ligi Kuu ya England amesema kuwa ana furaha kubwa kwa kuwa alikuwa anaipenda klabu hiyo.


Manchester City ilimpeleka Hart kwa mkopo katika klabu ya Torini nchini Italia lakini sasa amerejea England na kujiunga na Westham United kwa mkataba wa mkopo na mwishoni mwa msimu huu Westham itakuwa na nafasi ya kumsajili moja kwa moja kama itahitaji kufanya hivyo.

No comments